Nilishakumbana na kitu cha namna hiyo tena kwenye umati wa watu...sijui story ilianzia wapi sijui ndio chuki zenyewe nilashangaa mtu anawaambia watu huyu kanipa shida sana akiwa mtoto alikuwa anajinyea,mara nilishindwa kumlea mwanangu nikawa namlea yeye daah iliniuma nililia sana, nilijiuliza kwahiyo alinilea ili aje anisimange iliniumiza ukizingatia saizi na mimi nina watoto wangu wawili na nimeolewa, nafikiri wangekuwepo wakati wa mazungumzo hayo hata wao wangejisikia vibaya. nilichojifunza ni chuki kwasababu hataki kukubali ukweli uliopo sasa.
Historia huwa haifutiki ndiyo maana kuna hadi nyumba za makumbusho.
Nilishakumbana na kitu cha namna hiyo tena kwenye umati wa watu...sijui story ilianzia wapi sijui ndio chuki zenyewe nilashangaa mtu anawaambia watu huyu kanipa shida sana akiwa mtoto alikuwa anajinyea,mara nilishindwa kumlea mwanangu nikawa namlea yeye daah iliniuma nililia sana, nilijiuliza kwahiyo alinilea ili aje anisimange iliniumiza ukizingatia saizi na mimi nina watoto wangu wawili na nimeolewa, nafikiri wangekuwepo wakati wa mazungumzo hayo hata wao wangejisikia vibaya. nilichojifunza ni chuki kwasababu hataki kukubali ukweli uliopo sasa.
Hiyo lazima iwepo wana jf,kwaa ajili ya kujenga watu wengine,mfano,mbona fulani alikuwa kama mimi na amefika hapo? Kwanini nisiweze? Iko hivyo,soma hata vitabu vya dini,
Sitaki ifutike ila kwanini itumike kama hukumu.Au kama fact ya kumshusha mtu.
Wasiwasi wako tu!
Historia ipo na inatunzwa. Iwe mbaya au nzuri bado ni historia.
Jiamini. Cha muhimu ni ulipoishia siyo ulipoanzia.