Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,136
- 33,538
Si ajabu sana kuona teknolojia mpya kwa sasa, wana sayansi wamevumbua mfumo utakaowezesha ubongo kuingiza akili yoyote unayo taka kutokana na mahitaji unayotaka.
Mfano kama unataka kujua kareti, ngumi, ufundi, udaktari, udereva n.k
kifaa icho kinaweka na kuwekewa kumbukumbu yote na kuanza kufanya kazi kama umetoka mafunzoni.
Mwanasayansi huyo Dr Matthew Phillips amethibitisha mfumo huo utasaidia kupunguza garama za kufundisha na kuweza kutumika kwa mda mfupi kwa kila unacho taka.
