Ubishi Kuhusu 'ile chopa'

kuna mdau humu alisema njia rahisi ya kuprove ubora wake ni mkuu wa nchi apande na kuruka nayo hapo kila mtu ataiamini
Ha ha ha.. Na anavopenda sifa akiambiwa tu hio chance ya kua test pilot ipo anaweza akaenda panda kweli...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kuna mdau humu alisema njia rahisi ya kuprove ubora wake ni mkuu wa nchi apande na kuruka nayo hapo kila mtu ataiamini

Hiyo heshima apewe mzee wa mabadiliko Lowassa maana ushindi wake ulichakachuliwa
 
kuna mdau humu alisema njia rahisi ya kuprove ubora wake ni mkuu wa nchi apande na kuruka nayo hapo kila mtu ataiamini

Kajole unatafuta balaa wewe....hatutaki kurudia uchaguzi sie tumeisha choshwa na vituko na ahadi za kampeni
 
Rais wetu mweyewe ana chopa za kawaida wakat Kenya wana Special kwa ajil ya Rais wao ambayo iko armed sasa hiz za Bongo khaaaa
 
kiukwel aalikweli kuizindua then aruke na hata 1km tu angani akishuka kila mtu atataka kuipanda ubishan wote huu utaisha anaamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…