Lole Gwakisa JF-Expert Member Joined Nov 5, 2008 Posts 4,776 Reaction score 2,389 Jan 4, 2011 #1 Katika kuonyesha kuwa somo la ubinafsishaji limeeleweka vyema, mjasiliamali huyu amebinafsisha kivuli cha mti. Rostam upo hapo? Hii ni katika tembea tembea yangu mjini Kyela. Nawasilisha
Katika kuonyesha kuwa somo la ubinafsishaji limeeleweka vyema, mjasiliamali huyu amebinafsisha kivuli cha mti. Rostam upo hapo? Hii ni katika tembea tembea yangu mjini Kyela. Nawasilisha