Ubinafsi!!!

Ubinafsi!!!

Imanilelo

Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
8
Reaction score
0
Ubinafsi ndio unawafanya viongozi wa nchi kuiba kodi zetu,ukiangalia kwa makini viongozi wengi wamejenga nyumba nzuri wakati jirani yake analalia mbavu za mbwa,Je wanashindwa kuwasaidia kuwajengea nyumba bora walau vyumba viwili?
 
Back
Top Bottom