kwenda21 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 3,423 Reaction score 3,417 Jul 22, 2020 #1 Kuumuua mwizi aliyekuja kuvamia kwako aibe ni ubinafsi na inaonesha jinsi ulivyo na roho mbaya, unaendekeza mali kuliko uhai wa mtu.
Kuumuua mwizi aliyekuja kuvamia kwako aibe ni ubinafsi na inaonesha jinsi ulivyo na roho mbaya, unaendekeza mali kuliko uhai wa mtu.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,361 Reaction score 83,363 Jul 22, 2020 #2 Je, mwizi akimuua mwenye mali?
del moe JF-Expert Member Joined Apr 4, 2016 Posts 827 Reaction score 1,028 Jul 22, 2020 #3 Wewe ni mwizi na umekoswa kosea kuuwawa.pole Sana jizi wewe. Tafuta vyako kwa njia halali utakuja kuuwawa kweli simasihara
Wewe ni mwizi na umekoswa kosea kuuwawa.pole Sana jizi wewe. Tafuta vyako kwa njia halali utakuja kuuwawa kweli simasihara
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,941 Reaction score 31,905 Jul 22, 2020 #4 kwenda21 said: Kuumuua mwizi aliyekuja kuvamia kwako aibe ni ubinafsi na inaonesha jinsi ulivyo na roho mbaya, unaendekeza mali kuliko uhai wa mtu. Click to expand... bila shaka umenusurika kuuawa [emoji23][emoji23][emoji23]
kwenda21 said: Kuumuua mwizi aliyekuja kuvamia kwako aibe ni ubinafsi na inaonesha jinsi ulivyo na roho mbaya, unaendekeza mali kuliko uhai wa mtu. Click to expand... bila shaka umenusurika kuuawa [emoji23][emoji23][emoji23]
BestFundi Senior Member Joined Sep 9, 2020 Posts 156 Reaction score 192 Oct 31, 2021 #5 Maisha bila ubinafsi yanawezekana?? I don't think so
Chungchung changchang Member Joined Oct 15, 2021 Posts 64 Reaction score 80 Oct 31, 2021 #6 del moe said: Wewe ni mwizi na umekoswa kosea kuuwawa.pole Sana jizi wewe. Tafuta vyako kwa njia halali utakuja kuuwawa kweli simasihara Click to expand... Itakuwa kanusulika chupuchupu..
del moe said: Wewe ni mwizi na umekoswa kosea kuuwawa.pole Sana jizi wewe. Tafuta vyako kwa njia halali utakuja kuuwawa kweli simasihara Click to expand... Itakuwa kanusulika chupuchupu..
Telewolth bin champion JF-Expert Member Joined Dec 11, 2018 Posts 2,871 Reaction score 7,610 Oct 31, 2021 #7 hata huyo Mungu wa mbinguni ni mbinafsi ndiomaana akamsukumia shetan aje uku dunian kututesa, wakat huo huyo Mungu kajificha zake uko mbingun anakunywa maji ya uzima na vijana wake wakina gabriel..sasa sie viumbe wake ninani tusiwe wabinafsi????
hata huyo Mungu wa mbinguni ni mbinafsi ndiomaana akamsukumia shetan aje uku dunian kututesa, wakat huo huyo Mungu kajificha zake uko mbingun anakunywa maji ya uzima na vijana wake wakina gabriel..sasa sie viumbe wake ninani tusiwe wabinafsi????