Wafuas wa chadema ccm na Gwajima hawana tofaut na Mbuzi sababu wote ni kondoo wanao danganywa
[/QUOTE naunga mkono kabisa yaani mimi nianze kuwa mwanachama sijui wa chama cha siasa naona kama wehu flani
Hakika huyu alikua ni mwanasiasa sijui ilikuaje akawa mchunga kondoo wa bwana sijui mimiAlisema mpaka pesa ya treni ipo😂
Nikweli kila nafsi itasukumiwa inakotaka kwenda kwahiyo gwajima kapenda kitukingine kinachoitwa siasa ndio maana kapata na atalipwa kutokana na hilo alilolipenda.Mkuu mtoa mada.hapa dunian tumeletwa kupambana..kila mtu ana njia zake.wew umeamua kusoma na kuwa na profession flan ikupe ujuzi na ugal wa kila siku.
Gwaj boy yeye kaamua kuwa tapel kwa kutumia kitab cha mungu...so ni njia yake ya kupata ugali...usilaumu mkuu.laumu wanaomchangia sadaka kila siku na waliomchagua