Yaani Kawe CCM imetuletea Mgombea mbinafsi sana. Gwajima nilikutana naye Dallas, Texas kwenye kanisa la Umoja church miaka miwili hivi imepita.
Alikuja US kununua ndege binafsi na kuuza vitabu. Alituambia tayari ana helkopta mbili sasa cha kushangaza ndege ya nini kwa kutumia pesa za sadaka wakati hata kanisa halijajengwa.
Gwajima ni mbinafsi na anajali mtu mmoja tu Gwajima. Hata kuombea ni kunufaisha kujikweza zaidi ya kusaidia watu!. Mimi binafsi nampenda kama mfanyabiashara lakini sio mwakilishi.
Yaani alikuwa anawaambia watu pale ukitaka kupata watu fanya maajabu! Yeye anawaambia watu wake anauwezo wa kufufua wafu ambao wapo mochwari kitu ambacho hakuna ushahidi hata kanisa analiita kanisa la kufufua!
Uongo mtupu! Hakuna rekodi yeyote ya serikali ambayo mtu ambaye tayari ameshakufa kwa siku kadhaa kufufuliwa tena na Gwajima lakini bado mnataka eti tumchague kwasababu tu ya Magufuli wakati Magufuli yupo kwenye muhula wa mwisho. Isitoshe hata CCM wenyewe hawakumpigia kura kalazimishwa kikabila tu bila Magufuli asingekuwepo.