Hahahaa Kigogo hiyo 'Neki' imeniacha hoi.mkuu labda kura zihesabiwe na wabelgiji lakini kama kura zitahesabiwa na neki ya polisi sahau kushinda wapinzani
Ngoja nimuite Kiranga umthibitishie kama kweli mungu yupo?Unamuingiza Mungu kwenye maswala ya Ubelgiji? Ulishawahi kumsikia Mfalme Leopold na Kongo?
mkuu labda kura zihesabiwe na wabelgiji lakini kama kura zitahesabiwa na neki ya polisi sahau kushinda wapinzani
Nimesoma Historia Fupi ya Bwana Felix Raisi Mteule wa Congo nikapata Kama maono flani HIVI:
Huyu bwana Felix Kama ilivyokua kwa Bwana Lisu Naye alikua NCHINI UBELGIJI kwa KIPINDI kirefu Kama Ikivyokua kwa bwana Tundu Lisu....TOFAUTI yao NI kwamba, Felix alienda Kama mkimbizi aliyekimbia Congo na baba yake kutokana na migogori ya KISIASA.....BWANA LISU ALIKIMBILIA HUKO ILI KUIPONYA AFYA YAKE.
TUNAWEZA KUDHARAU HAYA MAMBO LAKINI SI AJABU MUNGU ANATOA ISHARA HAPA.......NAWASHAURI WAPINZANI MPITISHENI LISU YAMKINI WAKATI WA MUNGU UMEFIKA.
Umesikia waziri wa ubeligiji amesema nini?Nimesoma Historia Fupi ya Bwana Felix Raisi Mteule wa Congo nikapata Kama maono flani HIVI:
Huyu bwana Felix Kama ilivyokua kwa Bwana Lisu Naye alikua NCHINI UBELGIJI kwa KIPINDI kirefu Kama Ikivyokua kwa bwana Tundu Lisu....TOFAUTI yao NI kwamba, Felix alienda Kama mkimbizi aliyekimbia Congo na baba yake kutokana na migogori ya KISIASA.....BWANA LISU ALIKIMBILIA HUKO ILI KUIPONYA AFYA YAKE.
TUNAWEZA KUDHARAU HAYA MAMBO LAKINI SI AJABU MUNGU ANATOA ISHARA HAPA.......NAWASHAURI WAPINZANI MPITISHENI LISU YAMKINI WAKATI WA MUNGU UMEFIKA.
Unataka amwingize Mungu kwenye CCM,?mambo ya Mfalme Leopold that is a past book,it has nothing to act with the present.Unamuingiza Mungu kwenye maswala ya Ubelgiji? Ulishawahi kumsikia Mfalme Leopold na Kongo?
Mpumbavu ni mama yako na kichaa ni Baba yakoPUMBAVU WEWE.KICHAA ANAKUWA RAIS ?
Unataka amwingize Mungu kwenye CCM,?mambo ya Mfalme Leopold that is a past book,it has nothing to act with the present.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Waziri hajaridhishwa na Mshindi aliyetangazwa, Atashawishi UN isiunge mkono ushindi wa Felix, Namini wao mshindi wao ni yule aliyeshika nafasi ya pili
Hata hivyo fayulu ndiye alikuwa anaongoza tangu siku ya kwanza kula zinahesabiwa.Waziri hajaridhishwa na Mshindi aliyetangazwa, Atashawishi UN isiunge mkono ushindi wa Felix, Namini wao mshindi wao ni yule aliyeshika nafasi ya pili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo fayulu ndiye alikuwa anaongoza tangu siku ya kwanza kula zinahesabiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuingiza Mungu kwenye maswala ya Ubelgiji? Ulishawahi kumsikia Mfalme Leopold na Kongo?