Ubatizo

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
 

Attachments

  • 1932352_759137397431495_272376659_n.jpg
    55.4 KB · Views: 949
Aaa ubatizo gani huo bana! Kama sio kutafutiana vipindu pindu tu hapo?
 
Akikutoa hapo lazima uwe umeshakunywa glass mbili za hayo maji
 
Hayo maji hayafai kwa hiyo kazi!
 
Teh Teh Teh Teh Teh

Huo Ndio ubatizo halali!
 
hahahaha a.rahabu umeona ubatizo huo.kaaazi kwelikweli
 
ah....ubatizo katika mto ng'ombe au msimbazi .....
 
Duh huyo humo kwenye maji yupo hai kweli?
 
Kwa pembeni kama kuna mamba kwa mbaaalii..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…