kwa wale ambao hamjaoa, mtahangaika enz ya uchumba kutafuta kiwanja na process nzima mpaka nyumba kuisha then mtasema kweli uhusiano wetu ni wa maana tuoane sasa, mkishaoana tu ile nyumba utaambiwa si yenu tena ila ya kwake mwanamke na atakuambia ukitaka tuachane hata sasa hivi!,number 2 hata ukijitahidi kujibana mkeo apate elimu zaidi au gari yake binafsi kwa asilimia 85 mbona utakoma hapo baadae, akipata cheo au fedha zaidi ndio utajuta kuzaliwa (i stand to be corrected) sasa ufanye nini? OMBA KILA SIKU MUNGU AWAPE UELEWA NA BUSARA KUBWA NA ZINGATIA YALIYOANDIKWA KWAMBA UNATAKIWA KUISHI NA MWANAMKE KWA AKILI!! and no 3 kuhusu ubahili si kawaida kwa mwanaume kukataa kutoa matumizi ya nyumbani kwake lazima kuna tatizo kubwa KAA NAE CHINI ASEME!!
Nguo, birthday, anniversary,outing!!! Yaani, hizi ndio ameona priority kwenye ndoa yao? Yeye amewahi kumfanyia nini mumewe hata kwa hicho kidogo anachokipata? Upendo ni kutoa zaidi ya kusubiri kupokea!
U know what i dont understand about ladies is 1 thing,if u have a job and ur getting paid what financial assistance do you need????kama kila ki2 in the house your provided with,unataka nini tena????apart from that,kama unataka upewe assistance then what is your salary for???? Msaada always upo,but strictly kwa mambo muhimu,co unadai hadi hela za kuendea saluni..............
cha msingi ni kwamba, every woman needs to feel loved and cared for! sasa kwa criteria zipi, it depends, na labda huyu hizo ndo zake, i duno!
Ulijaribu kumwuliza huyo dada kabla ya kuoana huyo kaka alikua na hizo tabia au zimeanza baada ya kuoana?maana inawezekana hata wakati wa uchumba labda alikua hampi kitu chochote hata aouting hazikuwepo na mdada aliridhika kabisa,sasa inakuwaje waingie kwenye ndoa aanze kulalamika,mwulize vizuri hizo huduma kabla hawajaoana zilikuwepo? maana isije kuwa analilia kitu ambacho hata kabla hakikuwepo.
yeah, that is possible, huyu dada ana kazi lakini si well paying kama ya mumewe, ah, ndoa zina mambo jamaniTatizo la wanawake wana fikra potofu sana yaani wameumbwa kupokea na si kutoa! usikute huyo mwanamke ana kazi yake ya maana kabisa na ana kipato kizuri tu lakini nae bahili.
Nguo, birthday, anniversary,outing!!! Yaani, hizi ndio ameona priority kwenye ndoa yao? Yeye amewahi kumfanyia nini mumewe hata kwa hicho kidogo anachokipata? Upendo ni kutoa zaidi ya kusubiri kupokea!
hapo tatizo ni la huyo baba kumwachia na jukumu la kuhudumia familia kabisa, hivyo vingine mbona wengi tu hatufanyiwi na ni vitu vya kawaida kabisa.
........na kwamba siku za kwanza jamaa hata pesa za mahitaji ya home alikuwa anabana sana akitegea mkewe atoe.
yeah, that is possible, huyu dada ana kazi lakini si well paying kama ya mumewe, ah, ndoa zina mambo jamani
Yeah kwani huyu mwanaume ana kula nyumbani chakula? kama hali mama abaki kimya aendelee kuishi tu sio kulia lia eti haachiwi pesa za matumizi wakati mwanaume hali nyumbani ya nn aliache hilo janaume.
Niliwahi kusikia mahali pesa ya mwanaume usipoiweka busy, yani usipojua inaenda wapi simply because you there food in the house, utakuja kukuta umepata wasaidizi wanaojua kuitumia, sijui ukweli wa hili sana. Hekla za saluni nazo ni muhimu kutoa, sio uwe unasifiwa tu unajua kutunza wakati hata gharama ya perfume hujui, welcome to the world of women!
Otherwise, mi nadhani ni muhimu kusaidiana na kugawea budget kulingana na kipato ili family imove forward, yani hadi pesa za saloon, za mavazi nk vyote viingie kwenye family budget.
KweliCarmel mke wa mtu iweje muongee yote hayo? Je wewe ndio unamliwaza? Acha wayatatue matatizo yao wenyewe. Wewe mpambe????????????????????????????
Usahuri mwingine afadhali kwenda kwa mganga wa kienyejiJamani akina dada ndoa ni kama koti, ukiona joto limezidi vua! unatakiwa kuwa happy sio mradi ndoa hata kama unateseka - ukiwa na hamu ya ile kitu si una import tu mbona wapo wengi hata humu JF?
Ushauri mwingine afadhali kwenda kwa mganga wa kienyejiJamani akina dada ndoa ni kama koti, ukiona joto limezidi vua! unatakiwa kuwa happy sio mradi ndoa hata kama unateseka - ukiwa na hamu ya ile kitu si una import tu mbona wapo wengi hata humu JF?
Ushauri mwingine afadhali kwenda kwa mganga wa kienyeji
Sasa Annina fanya kuni-import basi ndoa yako ikipata joto.
Sawa?
Mimi ni mwanamke na nina marafiki vilevile, na kama rafiki yangu kaona yamemzidi hawezi kuyashikilia moyoni whats wrong with sharing? Penye wengi pana mengi dada/kaka.Carmel mke wa mtu iweje muongee yote hayo? Je wewe ndio unamliwaza? Acha wayatatue matatizo yao wenyewe. Wewe mpambe????????????????????????????
Mzumbe University sijui kama habari zake ni nzuri au si nzuri maana mi si msemaji wa university! shemeji yako ni nani? nimwambie nani anamsalimia? anakujua?Kweli
By the way habari za Mzumbe University?
Shemeji hajambo? Msalimie sana