Ubaguzi waitafuna CHADEMA. Salum Mwalimu alisukiwa Zengwe aukose ukatibu mkuu

Ulikuwa unakimbilia wapi ndugu??
 
Mwalimu kuachwa katika nafasi ya ukatibu mkuu unashangaa Na kuita ubaguzi?? Na wengine bado tunashangaa kwa nini hakupewa Mnyika.
 
Maoni yangu
Mwalimu alitumika kama geresha tu ili kuwapumbaza waislam, baada ya kelele za muda mrefu za kuwa chadema ni chama cha kikanda na kidini, sasa yanaanza kudhihirika moja baada ya jingine.
Acha fitina zisizokuwa na mashiko.
 
hii lugha hata kwenye kiswanglish haipo.
 
Maoni yangu
Mwalimu alitumika kama geresha tu ili kuwapumbaza waislam, baada ya kelele za muda mrefu za kuwa chadema ni chama cha kikanda na kidini, sasa yanaanza kudhihirika moja baada ya jingine.
Nafasi iliyokuwa wazi na ambayo ilitakiwa kujazwa ni ya Katibu Mkuu wa Chama. Mwalimu tayari alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu Zanzibar na alikuwa akikaimu Ukatibu Mkuu wa Chama. Sasa hapa ubaguzi dhidi ya Mwalimu unatoka wapi? Katibu Mkuu amepatikana, Mwalimu anaendelea na nafasi yake ya Unaibu Kabibu Mkuu-Zanzibar. Ukitaka kujua formula ya uongozi wa Siasa waulize CCM sababu ya kutoteua Katibu Mkuu kutoka Zanzibar! Siyo bahati mbaya kwa Chadema kuteua Katibu Mkuu wa chama hicho kutoka bara pia. Ni kanuni ya msingi ya hesabu za uongozi wa Siasa za Tanzania.
 
Mwalimu kuachwa katika nafasi ya ukatibu mkuu unashangaa Na kuita ubaguzi?? Na wengine bado tunashangaa kwa nini hakupewa Mnyika.
Kwa mnyika usishangae maana hakukubaliana na mamvi ikikua kuoelekeshwa tu
 
Maoni yangu
Mwalimu alitumika kama geresha tu ili kuwapumbaza waislam, baada ya kelele za muda mrefu za kuwa chadema ni chama cha kikanda na kidini, sasa yanaanza kudhihirika moja baada ya jingine.

Hizi ni akili za washindia ubuyu kama wewe!
Hivi ni kweli mtu apewe tu cheo hata kama hawezi kwa sababu ya dini yake?

Ikiwa hivyo basi JPM anapalilia ukristo nchini!
 
Mkuu una udugu na Pdidy?
 
Maoni yangu
Mwalimu alitumika kama geresha tu ili kuwapumbaza waislam, baada ya kelele za muda mrefu za kuwa chadema ni chama cha kikanda na kidini, sasa yanaanza kudhihirika moja baada ya jingine.
Waislam wamuulize Juma Duni Hali, alikuwa kama Bundi katikati ya ndege wadogowadogo mchana kweupe.
 
Salum ndiye mwislamu pekee CDM? Hizi akili za ajabu sana kuwahi kutokea

Sipati picha kwa hizi propaganda za kitoto iwapo Dr. Slaa angekuwa muislamu na hicho kilichotekea mpaka Dr. Slaa akajitoa cdm. Ndugu yangu inabidi watu tuwe waelewa kwamba kinachoendelea hapa jukwaani ni propaganda ambazo kama huna uelewa wa kutosha basi unapotezwa tu.

cc: nndondo
 
Hili jarida la "MKAKATI" kama halimilikiwi na chama basi litakuwa linamilikiwa na kada. Maana kila linapotoka, jarida lote linajaa kama si habari za Lowasa basi ni habari za CHADEMA. Halafu kuna pia lile jarida jingine la "DIRA" nalo kuanzia front page mpaka mwisho ni habari za Lowasa tu, JK yupo China toka juzi majarida yameshindwa kweli kumtengenezea Lead Story?
 
Unaonekana una fitina za hali ya juu mpaka hata kuandika huwezi. Hebu pitia hili tapishi uuone ulivyo andika kwa makosa mengi. Fitina haijengi, nilitaraji huko ACT ulikohamia ungejifunza hata kuandika kwa usahihi kumbe unahamishia hila tu kwenye chama kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…