Ubadilishaji wa hela kulikoni?

Magobe T

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2008
Posts
5,904
Reaction score
4,119
Ndugu zangu, kuna nchi ukibadilisha hela (noti na sarafu) unapata kiwango kilekile kwa noti za 100, 50, 20, 10 au 1. Lakini hapa Tanzania naona tunaibiwa sana. Mfano, ukiwa na noti kadhaa (dolars au pounds) za 100 kila moja na mwingine za 10 rate yake kwa hapa itakuwa tofauti.

Naomba kama kuna mtu anajua zaidi kwa nini ni hivi anijulishe kwani huwa inaniumiza sana kuona noti za dolars au pounds 100 zinakuwa na rate tofauti na zile za 50, 20, 10 na nadhani noti za dolar au pound 1 hazipokelewi kabisa. Huwa ni kwa sababu gani au ndio utandawazi: 'anything goes'?
 
Last edited:
wewe unapenda zaidi za 100 au 10??

100 ndo bei ya soko watu wanependa ndoo maana iko juu!
 
wewe unapenda zaidi za 100 au 10??

100 ndo bei ya soko watu wanependa ndoo maana iko juu!

Mimi nadhani kama swala ni soko basi 'currency' ndiyo yenye soko/thamani na siyo 'denominations'!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…