unajua ulichokiandika?huko kote alipewa na jk kulinda marafiki zake,nbc pia alikuwa mwenyekiti,haijalishi mbona donald mbando alikuwa DMO,RMO............hadi ukatibu mkuu na bila kosa lolote amepigwa chini.hapa ni kuangalia nani kaharibu wapi atunguli.
ASSAD NA ATUNGULIWE TU
unajua ulichokiandika?
Vizuri wakiristo wanajipanga. Lakini mkumbuke nyie ndio mlioharibu nchi kwa miaka 50 no maendeleo.
Kila alipo muislam lazima mtafute kosa sio mbaya.
Asad atatumbuliwa akifuatiwa na dr dau na wengine wowote walioko kwenye madaraka mtakaa wenyewe mtaturudisha nyuma kimaendeleo
Tutakuja tutaanza upya.
Mbona kanisa ninapitishiwa hela haramu mnapiga kimya? Iptl ikiulizwa mnazika
Tahadhar udini hautufikishi popote zaidi ya vita.
hii kitu itakuwa ilimuuma sana AssadNaona huko Mtanzania kuna mradi wa kumchafua Prof.Asad,walianza na kwenda nje bila kibali.Na huyo afisa wa CAG anayetumiwa tutampata tu,asidhani yupo salama
hili swali huwa hawalijibuNaomba mnieleweshe wadau. Hivi ni nani anakagua hesabu sa CAG?