Nimekulia kijiji flani huko Milima ya upareni kinaitwa Kilomeni. Wakati nakua kulikuwa na wababe wengi wanapiga kila mtu na hawafanywi lolote. Baadae vijana walichoka wakajiandaa na kuwavamia baadhi wakawafanya vilema wakatulia. Wengine walishungulikiwa kisheria sasa wapo jela na wengine washamaliza vifungo vyao wamebadilika kuwa raia wema wadhoofu kwa kila hali.
Sijaona mbabe aliyedumu na ubabe milele pale kijijini.
Siku hizi nikienda likizo nakuta waliopo wamestaarabika sioni wale wababe wa zamani.

Umenitafsiri vibaya kwa sababu zako ila ninayokueleza naweza kukuonyesha hata tukienda Leo, kule kwetu jioni ya jumapili miaka ya nyuma ilikuwa wakati wa kupigana tu kwa vijana aonrkani nani mbabeKuna mtu unamfikishia ujumbe Kwa kuogopa, umeeleweka
GoliathSiku hizi kila jambo Ntatumia ......tuiogope sana hiyo kauli, haina mwisho mzuri unaowaamini hao hao wanakugeuka
Unamaanisha kwamba jiwe???Nimekulia kijiji flani huko Milima ya upareni kinaitwa Kilomeni. Wakati nakua kulikuwa na wababe wengi wanapiga kila mtu na hawafanywi lolote. Baadae vijana walichoka wakajiandaa na kuwavamia baadhi wakawafanya vilema wakatulia. Wengine walishungulikiwa kisheria sasa wapo jela na wengine washamaliza vifungo vyao wamebadilika kuwa raia wema wadhoofu kwa kila hali.
Sijaona mbabe aliyedumu na ubabe milele pale kijijini.
Siku hizi nikienda likizo nakuta waliopo wamestaarabika sioni wale wababe wa zamani.
Wewe binti acha kuvamia Uzi wa wanaumeNa wewe Je, umebakia vile vile Mwanaume dhaifu au umebadilika na kuwa strong man?
Aiseee Wewe ni WA kilimeni!?? Hao jamaa ni mabingwa WA uchawi na kuwekeana sumu kwenye dengeNimekulia kijiji flani huko Milima ya upareni kinaitwa Kilomeni. Wakati nakua kulikuwa na wababe wengi wanapiga kila mtu na hawafanywi lolote. Baadae vijana walichoka wakajiandaa na kuwavamia baadhi wakawafanya vilema wakatulia. Wengine walishungulikiwa kisheria sasa wapo jela na wengine washamaliza vifungo vyao wamebadilika kuwa raia wema wadhoofu kwa kila hali.
Sijaona mbabe aliyedumu na ubabe milele pale kijijini.
Siku hizi nikienda likizo nakuta waliopo wamestaarabika sioni wale wababe wa zamani.
Story za kujisimulia ukiwa mwenyewe[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Nimekulia kijiji flani huko Milima ya upareni kinaitwa Kilomeni. Wakati nakua kulikuwa na wababe wengi wanapiga kila mtu na hawafanywi lolote. Baadae vijana walichoka wakajiandaa na kuwavamia baadhi wakawafanya vilema wakatulia. Wengine walishungulikiwa kisheria sasa wapo jela na wengine washamaliza vifungo vyao wamebadilika kuwa raia wema wadhoofu kwa kila hali.
Sijaona mbabe aliyedumu na ubabe milele pale kijijini.
Siku hizi nikienda likizo nakuta waliopo wamestaarabika sioni wale wababe wa zamani.
Karibu sanaNitakuja Kuleta Kisa Kimoja cha Ubabe Hapa..