Katika gazeti la Fahamu la januari 22 kuna habari inayosema zaidi ya asilimia 60 ya wabunge wa CHADEMA wanaweza kuachia ngazi baada ya uchaguzi wa ndani wa chama hicho endapo mbowe ataendelea kuwagawa ktk mbio za urais 2015.
Yameandikwa mengi lakin imeelezwa pia wabunge wakikaa kikao ktk hoteli moja magomeni na kujadili kauli ya Mbowe kumpigia upatu Dk. Slaa na kufikia conclusion kuwa ina madhara ya kukigawa chama.
Na mbunge mmoja aliweka bayana kwa mwandishi kuwa demokrasia isipozingatiwa watafanya uamuzi mzito ikiwa ni pamoja na kujienguaili kulinda heshima zao na wapigakura wao. Mambo yanazidi kupamba moto CHADEMA, mtafika kweli 2015?

chadema ina watu wengi sana zaidi ya milioni 4.majimbo hayazidi 400.tutagombea wengine.WAONDOKE TU.
Usihofu,Ningefurahi sana kama ZZK angeondoka na panya wake jana/juzi.
Ningefurahi sana kama SHIBUDA angekimbia bila kufukuzwa toka mwaka jana!!
Let them GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!! Traitors!!
Lisemwalo lipo kama halipo laja
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Vigogo wote wa CCM kuanzia
Wassira walishatabiri kwamba CDM kitakufa kabla 2015. Sasa hao wabung 60
wa CDM watakaoasi 2015, wataasi chama gani wakati CDM kitakuwa TAYARI
KIMESHAKUFA?! Sijawahi kusikia marehemu wAKIASI marehemu wenzake.
Ukiwa muongo basi lazima pia uwe na kumbukumbu
Katika gazeti la Fahamu la januari 22 kuna habari inayosema zaidi ya asilimia 60 ya wabunge wa CHADEMA wanaweza kuachia ngazi baada ya uchaguzi wa ndani wa chama hicho endapo mbowe ataendelea kuwagawa ktk mbio za urais 2015.
Yameandikwa mengi lakin imeelezwa pia wabunge wakikaa kikao ktk hoteli moja magomeni na kujadili kauli ya Mbowe kumpigia upatu Dk. Slaa na kufikia conclusion kuwa ina madhara ya kukigawa chama.
Na mbunge mmoja aliweka bayana kwa mwandishi kuwa demokrasia isipozingatiwa watafanya uamuzi mzito ikiwa ni pamoja na kujienguaili kulinda heshima zao na wapigakura wao. Mambo yanazidi kupamba moto CHADEMA, mtafika kweli 2015?
kumbe watoto wa magamba nao ni wadokozi! kweli tunda halianguki mbali na mti!Shule ya kuiba simu?