Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

Jana kuna mdogo angu karudi shule mapema.
Nikamuuliza mbona Leo mapema, ananiambia mwalimu mkuu amewambia wenye miaka 18 form four amewambia warudi nyumbni wakajiandikishe kurudi, kurudi shule hadi awe na namba aliyojiandikisha, kituo alichojiandikisha. Sasa sijaelewa huu utaratibu manake nini?
Hii ni morogoro shule inaitwa uwanja wa Taifa
 
Changamoto ya mwamko mdogo kwenye kujiandiisha daftari la wapiga kura inaweza ikawa imechangiwa na zuio la mikutano ya kisiasa?

Lakini pia kumeibuka tabia ya viongozi wenye nyadhfa kubwa tena baadhi yao wakiwa ni wakuchaguliwa kuhama vyama vyao na kuhamia upande mwingine.

Je, hizi zinaweza zikawa ni sababu tosha zilizo ondoa morali za watu kujiandikisha?
ivi mtu mwenye akili yake timamu atakwenda kujiandikisha wakati ccm washatangaza ushindi
 
Jana kuna mdogo angu karudi shule mapema.
Nikamuuliza mbona Leo mapema, ananiambia mwalimu mkuu amewambia wenye miaka 18 form four amewambia warudi nyumbni wakajiandikishe kurudi, kurudi shule hadi awe na namba aliyojiandikisha, kituo alichojiandikisha. Sasa sijaelewa huu utaratibu manake nini?
Hii ni morogoro shule inaitwa uwanja wa Taifa
mwaka huu mpaka jeshi nalo ndani kwenye sehemu ambayo sio kwao
 
Sababu kubwa ni kuwa watu wamedhoofishwa sana utawala huu hata nguvu za kwenda kupanga foleni wamekosa.

Pia CCM kupitia mwenyekiti wao katoa siri kuwa nchi inaenda kutawaliwa na viongozi wa chama kimoja.

WAPINZANI WAPO HOI, WAKULIMA HOI, WATAWALIWA KWA UJUMLA TUPO HOI. IN SHORT TUMUACHE AFANYE ANACHOTAKA TUMESHAKUBALI
Tunatakiwa kuendeleza mchakato wa Katiba ya Warioba kwenye Bunge la Katiba litakalochaguliwa na wananchi wote kwa kura ndipo tutapona.Vinginevyo Watanzania tuna wakati mgumu sana chini ya mfumo uliopo.Haitafaa kukata tamaa kabisa.
 
Hata Kama hiyo legitimacy haipo kwa Akili za Hawa jamaa sioni Kama wanajali Sana. Sijui kwanini wanaonekana kujali watu kujiandikisha maana sijawahi kuhisi Kama Hawa Wana Akili timamu za kuhofia Jambo lolote la kistaarabu
 
Sasa mwenzio hilo li katiba sio kipaumbele chake
Tunatakiwa kuendeleza mchakato wa Katiba ya Warioba kwenye Bunge la Katiba litakalochaguliwa na wananchi wote kwa kura ndipo tutapona.Vinginevyo Watanzania tuna wakati mgumu sana chini ya mfumo uliopo.Haitafaa kukata tamaa kabisa.
 
Wachawi wa maendeleo ya nchi yetu ni wapinzani

Unajua wewe ni pumbaf na juha mkubwa??
Hivi unajua nchi hii haijawahi kuongozwa na Upinzani tangu ipate Uhuru?
Tanzania ilipata Uhuru mwaka 1961 chini ya Mfumo wa Chama kimoja TANU wakitawala na mwaka 1977 wakabadili jina na kujiita CCM wakiendelea kutawala. Mwaka 1995 tukawa na mfumo wa vyama vingi lakini haohao CCM wameendeea kuongoza hadi hii leo. Hayo maendeleo ya miaka zaidi ya 58 chini ya CCM yako wapi?
Wapinzani wanakuwaje wachawi wa Maendeleo kama siyo CCM wenyewe na Watawala wake?
Tusipotoshe ukweli tafafadhali sana.
 
Back
Top Bottom