uanaume kazi kweli kweli.....

Life mchezo,kuna jamaa alipewa list kama hii ..akahapa haoi..wala hajengi..ataishi Guest ili asiwe na jirani, wala asidaiwe michango,na wala asidaiwe bill za umeme, maji,taka..etc…
 
Life mchezo,kuna jamaa alipewa list kama hii ..akahapa haoi..wala hajengi..ataishi Guest ili asiwe na jirani, wala asidaiwe michango,na wala asidaiwe bill za umeme, maji,taka..etc…

sufuria haiogopi moto!mwambie aoe tu.
 
Kwa kifupi "infidelity" ni machukizo (abominations) mbele za MUNGU na wanadamu pia. Wenye tabia hiyo ukiwemo wewe Bishanga nawasihi katika jina la BWANA YESU muache mara moja, MUNGU hapendi kabisa na mkeo unamkera. Neno la MUNGU katika Mithali 6:32 linasema hivi:

MTU AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA;AFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE
ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA WALA FEDHEHA YAKE HAITAFUTIKA

Na Katika Mithali 5 linasema hivi:-

1. Mwanangu, sikiliza hekima yangu; Tega sikio lako, mzisikie akili zangu;
2. Upate kuilinda busara, Na midomo yako iyahifadhi maarifa.
3. Maana midomo ya malaya hudondoza asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta;
4.
Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga; Ni mkali kama upanga wa makali kuwili.
5.
Miguu yake inatelemkia mauti; Hatua zake zinashikamana na kuzimu;
6.
Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutanga-tanga wala hana habari.
7. Basi, wanangu, nisikilizeni sasa, Wala msiache maneno ya kinywa changu.
8. Itenge njia yako mbali naye, Wala usiukaribie mlango wa nyumba yake.
9. Usije ukawapa wengine heshima yako, Na wakorofi miaka yako;
10. Wageni wasije wakashiba nguvu zako; Kazi zako zikawa ndani ya nyumba ya mgeni;
11. Nawe ukaziombolea siku zako za mwisho, Nyama yako na mwili wako utakapoangamia;
12. Ukasema, Jinsi nilivyochukia maonyo, Na moyo wangu ukadharau kukemewa;
13. Wala sikuisikia sauti ya waalimu wangu, Wala sikuwategea sikio langu walionifundisha!
14. Nalikuwa karibu na kuingia katika maovu yote, Katikati ya mkutano na kusanyiko.
15. Unywe maji ya birika lako mwenyewe, Na maji yenye kububujika katika kisima chako.
16. Je! Chemchemi zako zitawanyike mbali, Na mito ya maji katika njia kuu?
17. Yawe yako mwenyewe peke yako, Wala si ya wageni pamoja nawe.
18. Chemchemi yako ibarikiwe; Nawe umfurahie mke wa ujana wako.
19.
Ni ayala apendaye na paa apendezaye; Maziwa yake yakutoshe sikuzote; Na kwa upendo wake ushangilie daima.
20.
Mwanangu! Mbona unashangilia malaya, Na kukikumbatia kifua cha mgeni?
21. Kwa maana njia za mwanadamu zi mbele za macho ya Bwana, Na mienendo yake yote huitafakari.

22. Maovu yake yeye yatampata mdhalimu, Naye atashikwa kwa kamba za dhambi zake.
23. Atakufa huyo kwa kukosa maonyo, Naye atapotea kwa wingi wa ujinga wake.
 
Sasa mbona utakufa hata kabla ya siku ndg yangu kwa matatizo ya kujitakia, sasa hao wote si upunguze kwa mishahara ye2 ya hii serikali ye2 unaweza kuyamudu mahitaji ya wote hao au ndo unachakachua ndg yetu
 
mmmmmmmmhhhhh!!!
 
kuchanga karata muhimu.
 
Lmao! Umenifurahisha sana. Umnunulie na mama yako simu awe anakuambia na shida za kwenu paa likiezuliwa na upepo!
Afu siku unataka a fresh galfrendi unistue ila uingie mkataba na Dr Kaoshik kabisa manake lazma nikuue kwa shell!
 
siwatafuti bana wananitafuta wenyewe,kupanda merc 600 SL mchezo na kumuvuzishwa kwenye li apartment masaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…