uanaume kazi kweli kweli.....

No wonder hua unaambulia kipondo...sifa nyingine za kijinga kweli!!!
 
Afu ukilambwa makofi unakuja kulia lia jf, ningemjua mama kayai ningemfuata na leo tukuchangie mpaka ushindwe kuamka!
jaribuni tena muone,natembea na pepper spray.
 
Nilikuambia uache kurithi tabia ya baba yake sasa ona kinachokutokea
 
na wewe umeibukia wapi? Nasikia ulitoroshwa ukapelekwa visiwa vya Guam?

Utapigwa mpaka akili ikomae mwaka huu!!

Nimeruhusiwa kuchungulia kidogo wakati baba mchungaji anasafisha koo!!
 
hata wewe kamanda?

Kabisa
Mimi siungi mkono hoja na wala sikubaliani na hayo unayomfanyia mama Kayai
Tena ningekuwa na access ningemwambia aongeze kipondo kwako na awe anakagua mifuko yako achukue kila kilichobaki ili hivyo vidumu na viplastick vikose kabisa
 

Kumbe wewe kit*mb* eh?
MAPROSOO.
 
Utapigwa mpaka akili ikomae mwaka huu!!

Nimeruhusiwa kuchungulia kidogo wakati baba mchungaji anasafisha koo!!

nasikia ka harufu ka wivu hapa.........
 
Kabisa
Mimi siungi mkono hoja na wala sikubaliani na hayo unayomfanyia mama Kayai
Tena ningekuwa na access ningemwambia aongeze kipondo kwako na awe anakagua mifuko yako achukue kila kilichobaki ili hivyo vidumu na viplastick vikose kabisa
mkuu nyuki hufuata nta! Sio makosa yangu.
 
Ndio maana nikasema kweli watakuua yani hadi tarehe unasahau,usije kusahau kula kama Isaack Newton!!
nshakuwa ngangari ila sa ingine ndo yale ya muhidin gurumo.....bubu akizidiwa hutaka kuongea.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…