Uamuzi kesi ya CHADEMA dhidi ya polisi leo

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,242
34,903
Mwanza. Hatima ya kesi iliyofunguliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) dhidi ya polisi kupinga amri ya kupiga marufuku kufanyika maandamano na mikutano ya kisiasa nchini itajukana leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowekwa upande wa Serikali.

Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Jaji Mohamed Gwae anayesikiliza shauri hilo baada ya upande wa utetezi unaowakilishwa na mawakili Robert Kidando na Obadia Kajungu kuweka pingamizi ukiomba Mahakama itupilie mbali kesi hiyo kwa madai ina mapungufu kisheria.

Katika hoja zao mawakili hao wanaowawakilisha wadai wawili, Mkuu wa Polisi Wilaya ya Geita na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wanadai mleta maombi (CHADEMA) kupitia kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho hawakunukuu kifungu cha 5(1)(2) ambacho kingeipa Mahakama mamlaka ya kusikiliza na kutoa uamuzi kuhusiana na ombi hilo.
 
Ifike mahali,viongozi Wa upinzani Sasa waseme basi,kila siku wanasukumwa wanarudi,nyuma.dawa ni kuingia Bara barani tu.imetosha imetosha.tujifunze kwa wenzetu wakenya hakunaga haki inapatikana mahakamani,Dawa Yao ni kuingia tu rodini mpaka kutoboke
 
Mwanza. Hatima ya kesi iliyofunguliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) dhidi ya polisi kupinga amri ya kupiga marufuku kufanyika maandamano na mikutano ya kisiasa nchini itajukana leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowekwa upande wa Serikali.

Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Jaji Mohamed Gwae anayesikiliza shauri hilo baada ya upande wa utetezi unaowakilishwa na mawakili Robert Kidando na Obadia Kajungu kuweka pingamizi ukiomba Mahakama itupilie mbali kesi hiyo kwa madai ina mapungufu kisheria.

Katika hoja zao mawakili hao wanaowawakilisha wadai wawili, Mkuu wa Polisi Wilaya ya Geita na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wanadai mleta maombi (CHADEMA) kupitia kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho hawakunukuu kifungu cha 5(1)(2) ambacho kingeipa Mahakama mamlaka ya kusikiliza na kutoa uamuzi kuhusiana na ombi hilo.
5(1) (2) no Latina sheria au rules zipi
 
CAP 322 au 20. Mimi mkulima nimeona uandishi wako unakasoro sijui hao wanasheria
 
Duu kumbe sisi wakulima kupata haki mahakamani itakuwa shida, kutonakili kipengele na vifungu vya sheria husika vinaweza kumfanya hakimu au jaji kutupilia mbali kesi yako? Kama umekosea kwa nini asikushauri urekebishe ili kesi isikilizwe? Wakati mwingine huwa naona hawa watu wa sheria kama wanaleta utani kwenye mambo ya msingi.
 
Back
Top Bottom