Kwa kuwa wengine tuko ndani ya boksi tunadhani duniani dini ni Ukristo na Uislamu tu. Duniani kuna dini kadhaa (anyway, sijui idadi kamili) lakini katika hizo ni Uislamu ndio unaoongoza kwa kuhamasisha violence kwa visingizio mbalimbali tena wakati mwingine hata wao kwa wao! Nitatoa mifano michache:
Nenda India; huko kuna vita isiyoisha baina ya Wahindu na Waislamu. Wakati dini zingine zote zinaishi vizuri na Wahindu ni Waislamu pekee walioshindwa kufanya hivyo.
Nenda Uchina; kuna uadui kati ya Waislamu na Wabudha na kama itakumbukwa mgogoro mkubwa uliwahi kutokea kwenye mji mmoja magharibi mwa Uchina ilikuwa ***** ***** za Waislamu dhidi ya wengine. Wabudha ni watu wazuri mno na wanaishi vyema na dini nyingine lakini sio waislamu. Kama "urafiki" wa kinafiki upo basi ni baina ya serikali na serikali lakini mioyoni mwao wamejaa chuki kiasi cha kumwaga damu.
Nenda Uarabuni: Waislamu wenyewe kwa wenyewe wanachinjana kama kuku kila uchao ukianzia Yemen, Bahrain, Iraq, Afghanistan, Palestina, Syria, Iran (taifa la Kiislamu), Pakistan (taifa la Kiislamu), n.k. Najua kisingizio kitakuwa Marekani; ni wapumbavu pekee wanaouwana wenyewe kwa wenyewe badala ya kumkabili adui kwa umoja kama kweli ni adui au dhana tu iliyochanganyika na inferiority complex.
Nenda Israel: Hili liko wazi. "Mayahudi" (kama wapendavyo kutamka) hawana tatizo na dini zingine isipokuwa na waislamu.
Njoo Afrika: Somalia ni mfano hai na unaojitosheleza sina haja ya kutaja pengine. Uislamu unadaiwa kuwa dini ya amani lakini cha ajabu umeshindwa kutumika kuleta amani hata miongoni mwao wenyewe. Umesikia ya Darfur huko Sudan? 99.99% ni waislamu lakini wanauwawa na waislamu wenzao!
Nenda popote: Tukio lolote la kuhatarisha amani likitokea suspects huwa ni wao na uzuri hukiri wenyewe kwa vinywa vyao na mwisho huthibitishwa pasi na shaka kwamba ni wao.
In short, duniani kuna amani kwa sababu kuna dini nyingine, ingekuwa ni Uislamu pekee uko duniani, dunia ingesha angamia - huo ndio ukweli.
Lakini Je, ni waislamu wote? Hapana, ni wapuuzi wachache tu! Lakini hawa wachache wanaonekana kuwa na nguvu za ajabu hata kuiteka na kuitia aibu dini yenyewe. Waislamu amkeni muikomboe dini yenu iliyotekwa mateka na kugeuzwa koloni.
UPDATES: Juzi kuamkia jana, Serikali ya Myamar ilitangaza hali ya hatari katika mji fulani baada ya Waislamu na Wabudha kuzichapa. Huko nako wanaonewa? Na wakristo labda? Sijui.
Nakaribisha matusi.