Ualimu ni wito.

Sasa madarasa yatakuwa vipi kama ofisi ndio hiyo?!
 
Mbona tupo kwenye nchi ya vi-wonder hii picha ya mwaka gani?
Teh teh teh
Hiyo ofisi au banda la mbuzi. Kumbe na mm nina shule
 
Jamani muwe na subira, tukimaliza chato intl airport tutakuja kujenga na hizo shule, msipende uchochezi bhana. Aah, bado deni ya bombadia zingine, endeleeni kusubiri waungwana!
 
Reactions: SDG
Ila walimu wenyewe wanaonekana wenye furaha sana, inatia moyo kwakweli. Afu uyo ke pini ya maana, aise.
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…