Uagizaji magari nje ni kufuru

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
3,585
Reaction score
2,911
Wakati Rais Samia Suluhu anaingia madarakani watu walioagiza/kununua Vifaa vya Usafirishaji nje kama magari, pikipiki, baiskeli na vinginevyo thamani yavyo ilifikia $738.1 sawa na TZS1.9Trilioni baada ya Rais samia kuingia madarakani vifaa vya usafiri na usafirishaji vilivyoagizwa nje vilifikia thamani ya $1,892.0 sawa na TZS5Trilioni ikiwa ongezeko la 20.4%. sawa na ongezeko jipya la TZS3.1Trilioni.Hii inaashiria kuwa Watanzania sasa na wao wanabadili magari kulingana na namba ya gari au mwaka iliyotengenezwa.
 
Samia ameruhusu mzunguko wa hela , yule jamaa hakutaka watu wawe na hela aliwaza mabarabara tuu bila kujali mnaishije alikuwa Raisi wa hovyo sana , Samia akiondoka leo ni mwaka mmoja tuu mtaanza kumlilia , Rai yangu Jijengeni mapema kiuchumi kabla Samia hajatoka madarakani!!!
 
Ukweli sasa hivi pesa ipo
 
Another innocent neck carrying a rotten pumpkin head
 
Huu nao ni ushauri mzuri
 
Unahesabia na yale mabas, pikpik na baiskel za mama?
 
Naona fisadi ulikuwa umebanwa saiv unachekelea huku deni la Taifa likiwa halishikiki
 
TZS5Trilioni
Kama ni magari ya kuchimba visima vya maji, kubeba kokoto, kumwaga lami, kulima mashamba, kupandia, kuvunia, kubebea maji, kuchimba madini, kusafirisha mifugo, kusaidia kubebea mizigo ya bidhaa za uvuvi, maparachichi, maua, usafiri wa abiria, na kadhalika na si magari ya delaya/deraya naunga mkono hoja.
 
Rais Samia Mitano Tena! Kazi na utu tunasonga mbele.
 
Mama Yuko vizuri anafanya mambo Yake kimya kimya lakini sikizia impact Yake kwenye uchumi. Really amazing!

Sasa hivi watu tunaenda maliwatoni kwa Raha zetu na kubadilisha rangi ya kimba.

Siyo kama Yule katili aliyetangulia.
 
yes huo ndio ukweli wenyewe
 
Acheni uongo wakati magufuli anafariki Tanzania ilikuwa Upper middle Income Country ,
Huyu bibi chura ameingia nchi I.eshuka kuwa Lower middle Income .
Acheni kudanganya watu.
Nchi ime.shinda huyu karani
 
Acheni uongo wakati magufuli anafariki Tanzania ilikuwa Upper middle Income Country ,
Huyu bibi chura ameingia nchi I.eshuka kuwa Lower middle Income .
Acheni kudanganya watu.
Nchi ime.shinda huyu karani
SIO KWELI
 
Nadhani pesa ipo mtaani ni vile haijanipitia Mimi 😜
 
We ni mchawi ila umeshindwa kwa jina la Yesu. Watu wengine hamwezi ht kuficha zilivyo roho zenu. Badala upongeze mfumo kwa kunyanyua maisha ya watu we unaita kufuru? Nashindwa niandike nini ila itoshe kusema una roho mbaya sana mpk aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…