Waambieni IS, kuwa mpiganaji akiuawa na mwanamke hataionja pepo
Huwa hata mimi nashangaa dini zingine kuabudu Binadamu.Hahaha!!! afu hizi sheria za hii dini huwa sizielewi kabisa, sasa mbona mwanamke anaruhusiwa kuendesha ndege lakini hana ruhusa ya gari.
Huwa hata mimi nashangaa dini zingine kuabudu Binadamu.
Yesu alikuwa binadamu na hata siku moja binadamu hawezi kuwa Mungu.Yesu yeye alikuwa jini, malaika au bimaadamu....!?.
Ukipata jibu utakwisha kushangaa
Huyu ana bahati kweli!!
Wakati wenzie wanakatazwa hata kuendesha gari yeye anaendesha Airforce?
Huo utakuwa mfumo kristo tu!
wooooh so sad! to hear that!..unbearable!!Waambieni IS, kuwa mpiganaji akiuawa na mwanamke hataionja pepo
Hahaha!!! afu hizi sheria za hii dini huwa sizielewi kabisa, sasa mbona mwanamke anaruhusiwa kuendesha ndege lakini hana ruhusa ya gari.