U wapi? Mbona unanitesa mpenzi wangu?!

U wapi daktari wa uyu mwandish halie toroka milembe..una tutesa .njoo umu chukue mental wako[emoji41]
 
Pole sana Baraka,nenda kwenye matamasha ya injili,wenzako ndiko wanakopatia wake
 
Mkuu mara nyingine unaweza ukahisi wanakusumbua kumbe wewe mwenyewe hujakaa vizuri.
Hebu jitathmini kwanza wewe umekaaje halafu ndiyo uanze kuwafikilia hao wengine.
Binafsi naamini huwezi kosa mtu kabisa.
 
Mapenzi yaliyojengwa kwenye misingi ya pesa hayadumu,siku ukipewa redundancy je?labda kama anatafuta mahusiano yasiyo dumu,ku hit baasi
Aisee kizazi cha leo bila kuwa na vipesa mapenzi hayaendi kabisa, nawaona vijana wanavyohaha.
 
Lawama mnatutupia Wanawake,kuna wanaume mnaanza nae moja,siku zikimjaa anaenda kwa mchepuko 😊,mahusiano ya sasa Mungu tunusuru
Wala tatizo siyo wanawake, mabadiliko ya dunia ndiyo yametufikisha huku. Japo kwenye mapenzi kama mwanamke ni mvumilivu kuna asilimia kubwa sana kwamba yanaweza kufika mbali.
 
Wala tatizo siyo wanawake, mabadiliko ya dunia ndiyo yametufikisha huku. Japo kwenye mapenzi kama mwanamke ni mvumilivu kuna asilimia kubwa sana kwamba yanaweza kufika mbali.

Kumpata huyo mvumilivu ndio changamoto za vijana wengi,embu wazee toeni uzoefu wenu humu,vijana wajifunze
 
Yupo huku ..nimemuona anatoka kwenye kilabu cha pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…