Wandani tv
Member
- Feb 22, 2019
- 7
- 9
Msanii wa kizazi kipya seba tommy kutoka mkoan tabora kakilalamikia chama cha wasanii wa mkoa huwo u.v.sata kuwa hakija mtendea haki katika kuifungia nyimbo take ya mboka icon, sijaona kigezo cha u.v.sata kuifungia nyimboyangu sababu moja sijajiunga na chama hicho pili napofanya nyimbo huwa naakikisha nyimbo inakuwa na maadili yote bwa. Jerusalem aiya chie nyimbo yangu, ayokaya sema seba tommy