u-torrent 3.2.2

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
nimatumaini yangu mu wazima wana jukwaa ,,,,bila shaka wengi wetu tunatumia pirate bay kudownload vitu mbali mbali,,,na japo uenda wengine wanatumi zbigz nahisi wengi wttu ni UTORRENT nikiachana na propaganda,,,naombeni tudiscuss siku ya leo setting nzuri za u torrent 3.2.2 ambayo ni nzuri kwa window 8,,,mwenye hizo settings ambazo amezijaribu na zimempa majibu ya speed nzuri ya kudownload basi atoe humu jukwaani ili tuzidi kupakua,,,,na settings kuu tujikite zile za preference pamoja na za bandwidth,,,,hakikish unapotoa uwe umezijaribu na zimekupa majibu mazuri


natanguliza shukrani
 
Mie hua natumia default settings, few weeks ago niliwahi chokonoa kupitia YouTube ngoma ikawa inadownload faster kweli kweli LAKINI kila kitu kinakua very slow..


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
pole sana. mimi nilisumbuliwa sana na utorrent niliposhift kwenda windows 8. ijapokuwa nimegombana na mafayawoli ya windows na ya kaspersky sikuweza kupata nilichotaka.
nikahama utorrent. sasa nipo bitcomet. naihisi inafanya vyema with default settings.
nakushauri ijaribu bitcomet
 
out of 100 views no body was intereste au?

watu wengi wameachana na torrents siku hizi. wana tumia mambo ya premium cookies jaribu kusearch unachotaka hapa http://rapidlibrary.com/ halafu upande wa kushoto unaweza kuchagua rapidshare, hotfile, extabit, au host yoyote umbaye tayari una premium cookie wake. inakuwa ni speed kubwa ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…