u know ur dating a player

ANKOJEI

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
995
Reaction score
750
- when she cant complain, seeing u with another woman.
grow up man
- you are not the only handsome man on earth.
 
Kinachonishangazaga SI unit ya wanawake kumpima the so called a real man ni tofauti na ya kwetu.


Hivyo hamna namna tuendelee kuvutana tu.
 
hahahah you man, mwanaume ni free ni kama USA - yaani uone makosa ya wengine lakini yako, hayakosolewi
ndio mana ya kichwa
 
Hauna tofauti na yule wa kuleeee, pamoja na kuolewa kwake bado anapigwa dushe tu nje ya ndoa yake
 
hahahah you man, mwanaume ni free ni kama USA - yaani uone makosa ya wengine lakini yako, hayakosolewi
ndio mana ya kichwa
Sijakataa mpendwa nachojaribu kukueleza ni kwamba kuna mnavyotuchukulia nyie na kuna jinsi tunavyojichukulia sisi.

Mfano kwenu mwanaume kamili ni yule
1. Anakutimizia matumizi
2. Asiyekucheat
3. Anayekujali n.k
Ila sisi walaaa.
 
Wanawake wapo wengi zaidi ya wanaume (grabs popcorn)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…