Yani huwezi kuamini kwamba ile ishu ya Membe ishaanza kupoteza mvuto...duh ile ishu ya korosho hivi nayo imeishia wapi?
Duh nakumbuka zile ishu za kuandamana na Mange kimambi....
Zile ishu za bashite hivi zilileta impact gani?
Hebu nisaidieni kunikumbusha matukio ambayo tulishinda kutwa nzima kuyapigia kelele hapa ndani lakini leo hii hata hatuyakumbuki kabisa
Najua saivi mko busy na ishu za EU/US...ila najua hili nalo litapita kama mengine yalivyo pita