i dont know who comment this, is it Tanzanian or Foreighner!
but kama ni Tanzanian, kweli mungu atusamehe watanzania, but kama sio mtanzania basi pia siku moja aombe aje tanzania!
Hakuna nchi yenye watu wenye upendo kama TZ!
Hahahahahahahahaha[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
I hope you won't shout again when Tanzania mistreats Kenyans.
That is our choice, we have chosen that type of relationship with Kenya, don't waste your time, we will not change.See, the way you are killing your country softly. Hebu nenda Google halafu type.... "Tanzania mistreats Kenyans"...... And that's what everybody the world over reads. Who would want to come to Danganyika anymore. Be intelligent bwana. Acheni kujichomea picha with petty emotions.
That is our choice, we have chosen that type of relationship with Kenya, don't waste your time, we will not change.
Then stop complaining that Tanzania mistreats Kenyans, fight your own battle.And we are quite aware of that that's why we have played our cards closer to our chests.The difference is the same.
Then stop complaining that Tanzania mistreats Kenyans, fight your own battle.
Doesn't matter, just wanted to let you know and others Kenyans who plan to come to "Shamba la bibi" that, all other nationalities can be tolerated, but not Kenyans.You are the one who has stated that, I didn't even know Danganyikans had ideas of mistreating Kenyans. Mbona unabadilisha rangi kama Kinyonga. I say si mna kibarua
suruali ya ndani!?!..ni bora ukatumia english kwa sababu ndo lugha yako ya taifa..Mwenyewe hauna suruali ya ndani unatisha hata siafu.... Wadanganyika waoga maneno matupu tu
Doesn't matter, just wanted to let you know and others Kenyans who plan to come to "Shamba la bibi" that, all other nationalities can be tolerated, but not Kenyans.
suruali ya ndani!?!..ni bora ukatumia english kwa sababu ndo lugha yako ya taifa..
JPM noma anaweza finya huyu makende badala ya $50 for a business visa aishie kucheua 100× the amount as penalty!Yeees hivi ndivyo inatakiwa iwe lazima muwe na heshima mnapokuja kwenye nchi za watu..
JPM noma anaweza finya huyu makende badala ya $50 for a business visa aishie kucheua 100× the amount as penalty!
Hatari sana, hakikisha umewaambia uhamiaji kwamba unakwenda conference na wakushauri kabisa kipi unahitaji, iwe business visa au la.
Pia hakikisha unaye wakili Mtanzania mnayefahamiana naye na uwe muda wote na namba zake za simu
Ukiweza pitia ubalozi wa Kenya, jisajiri pale na uwape taarifa unakwenda kufanya nini Tanzania
Hakikisha muda wote haupo mwenyewe maana jamaa wanaweza kukufuata fuata nyuma kimya kimya kama ilivyo Korea Kaskazini, hivyo kama upo na Wakenya wengine, muwe mnakaa hoteli moja nyote, na kwenda maeneo ya burudani nyote, hata mkiwa maeneo ya burudani usikwende kwa choo mwenyewe, kuwa na mwenzako anayefuata na kusimama karibu nawe au mnakwenda makundi makundi.
Ukigongewa mlango hotelini, kabla ya kufungua kujua nani anagonga mpigie simu wakili au ubalozi wakae on standby.
Hudhuria conference yako na usitake kujadili na Watanzania chochote kinahusu siasa zao, ikishindikana kama vipi msifie sana Magufuli, waambie jinsi Kenya tunampenda rais wao huyo na tunaomba aje atutawale hata siku mbili, kuanzia kwa dereva wa taxi hadi wahudumu wa hoteli muda wote mkijadili chochote wewe sifia tu rais, imba pambio zote za sifa, kama enzi zetu zile za Moi na utawala wa KANU.
Siku zikiisha ukigeuza na kutua JKIA, shukuru Mungu na kurejea hali yako ya kawaida.
MK254 najua upo kwenye kile chama chenu cha UKENYA na UTANZANI..mm wala sio mwanacha wala mfuasi wa hivyo vyama viwili
Ushauri wako hapo juu ni upotoshaji wa hali ya juu na kama utatumika the way ulivyo shauri huyo ndugu yako anaweza juta sana kuja BONGO,,najua unajua fika kwa nn Tanzania inaitwa BONGO LAND,,moja la kosa ulilo mshauri nikumsifu JPM,nakupa siri JPM anasifiwa pale tu unapo hisi ujumbe utamfikia au utafikishwa tena huku ukiwa sehem salama au yenye ulinzi wa JPM la sivyo kaa kimya usije pigwa na wenye nchi..
Mimi Naishi Tanga,Tanga kunawakenya weni sana wanafanya kazi mahotelini wengine waalim NK,,na wengi ni rafiki zangu sana wAnaishi kwa amani tu,,hawana tabia za kujisifu sifu kama wahaya,,or sijui kwetu kuna magolofa sijui raisi wetu handsome,au siju tunawazungu wengi,,huu ni upuuzi mtu cha msingi twambie unafaidika navyo vipi,,leo hii utakuta wakenya wanafaidi vya Bongo,wamejenga wanabishara huku,,ww MK254 hata kibanda huna ila kelele kama nguchiro,majisifu kama kama ndge Tai kumbe huna lolote,,
Nakupa mfano,,mm naweza nikaja kenya nikaishi maisha ya kifahari kuliko 40% au zaidi ya wakenya wanavyo ishi au ww ukaja Bongo ukaishi maisha safi kuliko hata 50% wanavyo ishi wa Bongo issue ni opportunity tu,,so acheni kuwa mazwazwa wa vitu visivyo kusaidia kwa lolote
Nimeandika tokoea room No 405 PRIDEINN PARADISE BEACH HOTEL & SPA iliyopo Shanzu Mombasa Kenya
Nawapenda watu wa Mombasa,,kiswahili kama nipo Tz
Nisamehe kama nimekuuzi,,

HAHAHAHAHAHAHAHAHAcha kutudanganya.... My one month salary can feed your family for one year and your dog for 5 years.
HAHAHAHAHAHAHAHAH
Nafsi yako ndio inajua ukweli
DuuuuHatari sana, hakikisha umewaambia uhamiaji kwamba unakwenda conference na wakushauri kabisa kipi unahitaji, iwe business visa au la.