Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,537
- 4,435
Hongereni kwa kazi wakuu, nohitaji tyre cover la spare tyre la Toyota rav 4 miss tz linalofunika tyre mlango wa nyuma mwenye nalo anipe bei au yanapopatikana
enda kwenye kampuni inayoprint(banners)mwbango,watakutengenezea size unayotaka na picha unaweza weka hata ya shemeji,au mama mzazi...Hongereni kwa kazi wakuu, nohitaji tyre cover la spare tyre la Toyota rav 4 miss tz linalofunika tyre mlango wa nyuma mwenye nalo anipe bei au yanapopatikana
Nataka cover hiyo hizo za kuchora sihitaji mkuu
plastic kama hiyo, ni size 17 maana miss TZ zote size 1Ulikuwa unataka zile za turubai au zile za plastiki? Na pia rav4 yako rim yake ni size gani?
17 mkuuWeka size ya tairi eg.225-65R15
Lile la turubai linauzwa 20,000 na hilo la plastic/bati likiwa complete 500,000 likiwa la nje tu 350,000(la kufunga na funguo)Za
plastic kama hiyo, ni size 17 maana miss TZ zote size 1