Typewriter for sale

Typewriter for sale

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
If you are interested to the attached item kindly contact me, it is yet in immaculate condition.
 

Attachments

  • 1409777299387.jpg
    1409777299387.jpg
    66.9 KB · Views: 139
  • 1409777319416.jpg
    1409777319416.jpg
    45.5 KB · Views: 115
Kazi yake nini hii kitu kwa dunia ya sasa au kwa ajili ya kuweka makumbusho
 
Kazi yake nini hii kitu kwa dunia ya sasa au kwa ajili ya kuweka makumbusho

Kama sikosei zilikuwa zikitumika kujaza IDF zinazotolewa na benki kuu unapotaka kuagiza bidhaa toka nje ya nchi kwa mfano gari,sijui kwa sasa!
 
Shirika la kijasusi la russia(FSB) wanatumia hizo kuepuka hacking.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom