Types of girls...


Number 5 Comes in different shapes and sizes. That means number 1 is part of number 5. It is the same car make, unless there is a Corolla within the Nissan models for example.
 
Nahis ni Benz ila naomba awe jeep sema hatujapata pilika pilika bado.
 
Number 5 Comes in different shapes and sizes. That means number 1 is part of number 5. It is the same car make, unless there is a Corolla within the Nissan models for example.

i second on you boss, sijaelewa hapo corolla alafu tena toyota!
 

wangu ni SUZUKI na yule wa zamani alikuwa ISUZU.
 
si ninajijua; kwani wewe hujui thamani yako?


thamani siyo absolutely thing ni very relative. ........ na mara nyingi watu waliokuzunguka ndiyo wanaweza kukuambia wewe upo vipi kwao , ua ujipime kutokana na matendo yako.
pamoja na hayo hongera sana ,inawezekana kuna ukweli kwani hata michango yako humu naikubali sana imekaa kihali halisi na siyo kama ya baadhi ya watu humu kujiona malkia na kusahau uhalisia wao wa ubinadamu.........
 

Mimi ninaona, kitu muhimu ni how you feel about yourself, kuliko how people feel about you. And l dont feel cheap or unlovable na kwangu ndio muhimu; asionipenda ni tatizo lake si langu. Lakini si lengo langu kujipaisha kwa kuprove things kwa watu, so hutaniona najikuza (unless it is a joke, kama post ya kwanza) lakini inside l know what l feel and l like the feeling.
 


yeah! hiyo ni kweli tupu , ila pia sidhani kama kuna mtu anaweza kufeel tofauti na hapo kwenye bluu.... ikitokea mwanadamu wa kawaida anajiona opposite na hapo kwenye bluu basi itakuwa ni kipindi cha matatizo au cha ugumu kwenye maisha yake.

full respect Bidada.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…