TWO RIVERS CITY - NAIROBI

Mashashola

JF-Expert Member
Feb 23, 2020
4,091
5,279
Two Rivers Development Limited (TRDL), set on 100 acres of mixed use design provides premium facilities comprising Retail, Entertainment and Lifestyle facilities, modern office spaces, residential apartments, hotels and public amenities; and is positioned as Africa’s pre-eminent destination.

Its flagship product, Two Rivers Mall sits on circa 67,000 sqm and is the largest shopping center in Sub Saharan Africa (outside of South Africa) with over 200 stores offering local and international experiences. It's anchored by retail giant Carrefour and boasts fan favorites like Nike, Burger King, Hardees, Magic Planet, Spur, Swarovski, LC Waikiki, Platform, Ashley Furniture, Art Cafe and cinemas coming soon.
Screenshot_20211119-222708.jpg
 
This infrastructure is huge and complex, I have toured inside of it and was so amazed.
 
Think about Nairobi in 10 years.
Two Rivers, konza city, Nothlands, Nairobi Gate etc
 
Sisi waafrika tuna matatizo mnoo, badala ya kuboresha makazi yetu tunayoishi kila siku sisi tunajivunia majengo ya kupigia picha yanayotanda katikati ya miji!

Mimi nilitegemea ile mitaa ya uswahilini ya Nairobi (kama kule Kibera) ambayo zaidi ya 80% ya wakazi wa Nairobi wanaishi imeboreshwa, tuone nyumba bora, pawe pamepangika, kuwepo kwa vyoo, uhakika wa maji safi, mfumo bora wa maji taka, usalama nk.

Waafrika sijui tumerogwa na nani?
 
Rudi Shule.
 
Acha kujumuisha kila mtu kwa umaskini wako
 
Back
Top Bottom