Twin Villas for rent at Msasani

Twin Villas for rent at Msasani

DarProperty Tz

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
168
Reaction score
29
An immaculate contemporary 4 bedroom in a secured gated compound, full furnished with a gym and a swimming pool. The villas are located at Msasani Beach, all these at an incredible price at only USD 2700.

For more details on this property and to view other properties in Tanzania visit; View Property

View attachment 232389

1600.jpg
 
Una uhakika wapangaji unaowahitaji ni wenye kutumia USD na kuongea kimombo tu? Kama siyo edit bandiko lako andika thamani ya pango husika kwa thamani ya Shilingi za Kitanzania na kwa lugha ya kiswahili!
 
wewe unahitaji hiyo nyumba au ndiyo wabongo hatupitwi na kitu?
 
Naihitaji ila kwa hela ya madafu na anisoundishe kiswahili...lugha ya Wakaguru!

hahahhaa, hamna mteja hapo! Mbona Maxence amekusaundisha kizungu na kibwagizo cha "WHERE WE DARE TO TALK OPENLY" mara "HOME OF GREAT THINKERS", umeingia kingi mpaka leo umekuwa mlevi wa JF!!!
 
Mimi nina principle yangu moja hata kwenye kudate, nikikutana na hawa 'mabinti wa kisasa' ambao 'you kno nyingiiiiiiiiii' basi najua huyu ni mjasiriamali kwa hiyo kufupisha story namwuliza bei gani 'kifurushi cha usiku kucha' then haooooo kinachofuata ni Isidingo!
 
Hahaahahaa, hapo kwenye nyekundu na wewe wadada watakukimbia watajua bongofleva maana unavochanganya makabila ni noma!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom