Twiga stars updates

Kichwa cha mwendawazimu bado msumbiji kudadadeki
 
hawa ma-dada wametutia aibu, kufungwa nyumbani!!!!!!
 
Ndiyo maana mimi na timu za Tanzania hatuna uhusiano kabisa. Walivyokuwa wanaambiwa wanahitaji goli moja wakafikiri wameshinda tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…