njundelekajo
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 310
- 228
Sidhani kama hiyo ingekuwa hoja tungewajua kina koffi olomide,mbilia bel,papa wemba na wenzao ! BTW hata mzee mutukudzi(RIP)alimaarufika na kishona chake.tatizo lugha kiswahil hakielewek huko nje
uzaramoni.Kila aina ya utamaduni una asili yake, wapi asili ya hiyo singeli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo wewe nani aliyekwambia asilimia 90 ya watanzania hawapendi singeli?Alaf unasema watanzania wengi wanadharau utamaduni wa pwani wakati pwani ndiyo chanzo cha ustaarabu,Mnakuja kuja mjini mkiota mapembe mnaongea saana.Singeli sio utamaduni wa Mtanzania bana, Watanzania 90% hawapendi Singeli
Singeli inapendwa na vijana wa uswahilini ukanda wa Pwani, wachache sana, sasa utamaduni wa watu wa Pwani, sio utamaduni wa Tanzania
Tena Watanzania wengi wanadharau sana utamaduni wa Pwani,
Chuoni kuna mtu alikuwa katokea Morogoro ila ukimwambia bi mtu wa Pwani anakataa mnaweza mpigane
Maana wanawaona ni watu ambao hawajaenda shule, wana uhuni mwingi, umbea, umalaya, uvivu, umasikini, watu wa kujiachia na kuridhika na vichache, wasiofikiria kesho n.k.
Ukimuuliza Mtanzania sifa za watu wa Uswahilini Pwani (ambao ndio wapenzi wa Singeli) watakuambia waba sifa hizo hapo juu
So hawakubali kuwa ndio waende ku represent picha ya Watu wa Tz walivyo
Utamaduni gani wa Pwani ambao ni Ustaarabu? Uislam? Vigodoro? kushinda vibarazani?Acha hizo wewe nani aliyekwambia asilimia 90 ya watanzania hawapendi singeli?Alaf unasema watanzania wengi wanadharau utamaduni wa pwani wakati pwani ndiyo chanzo cha ustaarabu,Mnakuja kuja mjini mkiota mapembe mnaongea saana.