Conrad84
Senior Member
- Feb 14, 2016
- 104
- 43
Twende Pamoja kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Udzungwa National Park, Weekend hii ya Tarehe 27/8/2016 na kurudi 28/8/2016 kwa gharama ya Sh 80,000/- tu kwa mtu mmoja.
Gharama hii imejumuhisha;
- Nauli ya kwenda na kurudi
- Gharama ya Muongozaji
- Gharama ya Kiingilio.
- Gharama Lodge
- Breakfast
Safari itaanzia Ubungo, Dar es salaam. Wasiliana nasi kwa kufanya Booking leo
Simu: 0763 553 888/0672 514 440
Email: safaripamoja@gmail.com