mkuu,mnaanzia wapi safari yenu?hebu fafanua vizuri..Hi all,
Bado tuna nafasi za kutosha kwenye bus letu kwa safari ya kuelekea hifadhi ya Taifa ya Udzungwa, Safari ni ya kuondoka Jumamosi na kurudi Jumapili. Kwa watakao penda kuungana nasi.
Tuwasiliane; 0763 553 888
au Barua pepe: safaripamoja@gmail.com
Facebook Id: safaripamojatz
Kaka karibuni sana kwetu Udzungwa, hali ya hewa safi, mazingira murua. Karibuni sana,Hi all,
Bado tuna nafasi za kutosha kwenye bus letu kwa safari ya kuelekea hifadhi ya Taifa ya Udzungwa, Safari ni ya kuondoka Jumamosi na kurudi Jumapili, safari itaanzia Ubungo Mataa. gharama itausisha,
- Nauli ya kwenda na kurudi
- Kiingilio
- Gharama za Muongozaji
- Na breakfast
Kwa watakao penda kuungana nasi.
Tuwasiliane; 0763 553 888
au Barua pepe:
safaripamoja@gmail.com
Kwa safari zingine za mbuga tofauti tembelea page yetu ya Facebook Id: safaripamojatz
poa. but mbugani pekee ama pia mna camp, and other fun activities?Polee mkuu, tembele page yetu ya facebook: safaripamojatz tuna safari za mbugani kila mwezi.
Kwa sababu umeamua kutoa habari hii nafikiri ingekuwa vizuri ukaweka gharama zote wazi unaficha nini mpaka watu wapige simu au kuingia inbox/Hi all,
Bado tuna nafasi chache kwenye bus letu kwa safari ya kuelekea hifadhi ya Taifa ya Udzungwa, Safari ni ya kuondoka Jumamosi na kurudi Jumapili, safari itaanzia Ubungo Mataa. gharama itausisha,
- Nauli ya kwenda na kurudi
- Kiingilio
- Hotel
- Gharama za Muongozaji
- Na breakfast
Kwa watakao penda kuungana nasi Tuwasiliane; 0763 553 888 au Barua pepe: safaripamoja@gmail.com
Kwa safari zingine za mbuga tofauti tembelea page yetu ya Facebook Id: safaripamojatz
Hi all,

Wahi nafasi zimebaki chache kwa sasa. Hatutangazi bei sababu sio kila mmoja wetu anayetaka kwenda ni mtanzania na bei za maradhi na kiingilio kwa wageni ni tofauti. Wengi wanaoitikia ni watu wa kutoka nje waishio tanzania.AsanteWeka gharama hadharani bro
Wahi nafasi zimebaki chache kwa sasa. Hatutangazi bei sababu sio kila mmoja wetu anayetaka kwenda ni mtanzania na bei za maradhi na kiingilio kwa wageni ni tofauti. Wengi wanaoitikia ni watu wa kutoka nje waishio tanzania.Asante[/ Sawa weka bei ya mzawa na mgeni mbona watanzania tunakuwa waoga? unaficha nini?