Hii ikigeuzwa upande wa pili unakuwa unakata tawi ulilokanyaga!!! Unakumbuka utaratibu wa kupata na kumteua mtu awe Balozi? Kama kumbukumbu zipo chutama Sasa, watoto wanakaribia.Jamaa hana akili kabisa, alifaa kuwa balozi wa nyumba kumi
Unaweza kukasiriki na kumtukana Polepole humu kisha forum ikakufungia.Polepole anatuona sisi kama hamnazo na kumbukumbu hatunaKaka umesema upo CCM tangu 2000. Hebu tueleze uchaguzi wa mwaka 2010 CCM ilitoa form ngapi za uraisi? Mwaka 2020 zilizalishwa form ngapi? Mbona hukuachia ngazi?. Lakini umesema mchakato wa katiba mpya "wahuni'' walivuruga maoni ya wananchi, wewe na walipanga pia kuhujumu uchaguzi mkuu, wewe na wenzio mukaamua kwenda kupambana dhidi ya wahuni, na kweli mukashinda. Lakini cha kushangaza ninyi waungwana muliposhinda mukasema katiba mpya sio agenda yenu. Sasa wahuni sio nyie kweli? Pole pole mbona unaongea tofauti na dhamira iliyopo moyoni kwako?
Muda utaongea!
Samia amekua Rais baada ya Magufuli kufariki...Hivyo sio Rais wa Awamu ya TanoKaka umesema upo CCM tangu 2000. Hebu tueleze uchaguzi wa mwaka 2010 CCM ilitoa form ngapi za uraisi? Mwaka 2020 zilizalishwa form ngapi? Mbona hukuachia ngazi?. Lakini umesema mchakato wa katiba mpya "wahuni'' walivuruga maoni ya wananchi, wewe na walipanga pia kuhujumu uchaguzi mkuu, wewe na wenzio mukaamua kwenda kupambana dhidi ya wahuni, na kweli mukashinda. Lakini cha kushangaza ninyi waungwana muliposhinda mukasema katiba mpya sio agenda yenu. Sasa wahuni sio nyie kweli? Pole pole mbona unaongea tofauti na dhamira iliyopo moyoni kwako?
Muda utaongea!