Superleta JF-Expert Member Joined Aug 2, 2019 Posts 575 Reaction score 667 Aug 13, 2019 #1 Habari wakuu vipi ubora wa hizi tv za Singsung kuanzia kwenye tv zao za kichogo hadi Flat screen? Hapa nazungumzia quality ya picha na ubora pia wa hizo tv
Habari wakuu vipi ubora wa hizi tv za Singsung kuanzia kwenye tv zao za kichogo hadi Flat screen? Hapa nazungumzia quality ya picha na ubora pia wa hizo tv
ccm mtoto wao JF-Expert Member Joined Dec 19, 2018 Posts 562 Reaction score 483 Aug 13, 2019 #2 Nenda kanunue nzuri saaaaaana. Kama nyinyiem kwa watanganyika
Profesa ntare nkobe JF-Expert Member Joined Feb 5, 2018 Posts 6,954 Reaction score 8,148 Aug 13, 2019 #3 Nunua tu bei yako ndio ina amua ubora wa bidhaa
Superleta JF-Expert Member Joined Aug 2, 2019 Posts 575 Reaction score 667 Aug 13, 2019 Thread starter #4 ccm mtoto wao said: Nenda kanunue nzuri saaaaaana. Kama nyinyiem kwa watanganyika Click to expand... Haaa
ccm mtoto wao said: Nenda kanunue nzuri saaaaaana. Kama nyinyiem kwa watanganyika Click to expand... Haaa
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Aug 13, 2019 #5 zipo original na feki. Ukipata singsung halisi ni nzuri ila zile feki unawezakutumia vizuri mwezi ikaanza kupitisha mistari yenyewe Superleta said: Habari wakuu vipi ubora wa hizi tv za Singsung kuanzia kwenye tv zao za kichogo hadi Flat screen? Hapa nazungumzia quality ya picha na ubora pia wa hizo tv Click to expand...
zipo original na feki. Ukipata singsung halisi ni nzuri ila zile feki unawezakutumia vizuri mwezi ikaanza kupitisha mistari yenyewe Superleta said: Habari wakuu vipi ubora wa hizi tv za Singsung kuanzia kwenye tv zao za kichogo hadi Flat screen? Hapa nazungumzia quality ya picha na ubora pia wa hizo tv Click to expand...
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Aug 13, 2019 #6 ymollel said: zipo original na feki. Ukipata singsung halisi ni nzuri ila zile feki unawezakutumia vizuri mwezi ikaanza kupitisha mistari yenyewe Click to expand... UNAZITAMBUAJE FEKI NA OG?
ymollel said: zipo original na feki. Ukipata singsung halisi ni nzuri ila zile feki unawezakutumia vizuri mwezi ikaanza kupitisha mistari yenyewe Click to expand... UNAZITAMBUAJE FEKI NA OG?
Superleta JF-Expert Member Joined Aug 2, 2019 Posts 575 Reaction score 667 Aug 13, 2019 Thread starter #7 ymollel said: zipo original na feki. Ukipata singsung halisi ni nzuri ila zile feki unawezakutumia vizuri mwezi ikaanza kupitisha mistari yenyewe Click to expand... Maana kuna tv ya chogo ya singsung aka flat chogo huwa ina quality nzuri balaa sasa nikasema ningekua na flat s ndo ningeinjoy?
ymollel said: zipo original na feki. Ukipata singsung halisi ni nzuri ila zile feki unawezakutumia vizuri mwezi ikaanza kupitisha mistari yenyewe Click to expand... Maana kuna tv ya chogo ya singsung aka flat chogo huwa ina quality nzuri balaa sasa nikasema ningekua na flat s ndo ningeinjoy?