TV za HiSense

TV za HiSense

Kifaranga

Senior Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
144
Reaction score
31
Wakuu swalamaaa humuuuu???

Naulizia kama kuna mtu yeyote mwenye utaalam wa hizi TV za HiSense hasa hasa katika ubora wake na vitu gani vinasumbua sana kwenye hizi TV.

Na pia ushauri kwa TV za kampuni ipi ni bora (Samsung, Sony, LG n.k) ukiachilia mbali HiSense. TV.

Asante nawakilisha.
 
Back
Top Bottom