mwerevu mwenye busara
Senior Member
- Oct 23, 2016
- 144
- 93
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Television aina ya panasonic used inauzwa bei yake ni laki moja tu. Kwa serious buyer nipm tufanye biashara
Kabla ya kukupm nataka kujua uko mkoa gani?Rejea kichwa cha habari hapo juu. Television aina ya panasonic used inauzwa bei yake ni laki moja tu. Kwa serious buyer nipm tufanye biashara![]()
Hizo siku hizi zinatumika kwa wale wenye Play station Games.Hivi kuna watu bado wananunua tv machogo dude lina kilo 50. Kubeba hadi toroli.
Labda kwa wasiojua siku hizi wanatumia monitor.Hizo siku hizi zinatumika kwa wale wenye Play station Games.
Wanakula mia mbili mbili za watoto huku uswahilini.
mushi acha utani.soma maelezoNCHI NGAPI?
Soma headingmushi acha utani.soma maelezo
Amendika nchi 24.Soma heading
Nchi= countryAmendika nchi 24.
Hahahahahahaaaaa..Hivi kuna watu bado wananunua tv machogo dude lina kilo 50. Kubeba hadi toroli.