computerkiddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 509
- 543
NEGOTIATABLE.............. UNA BEI GANI KWANIEdit bei zako
OK I GOT U NAREKEBISHA SASA HIVIRekebisha hizo namba za pesa
Amount mbona kubwa??NSAHREKEBISHA BEI WEKA ORDER ULETEWE MZIGO CONTACS 0654262419
Unaleta au unaifunga kabisa ukutani?BEI IKO FAIR KABISA COMPARE WITH OTHER STORES
TV Mount: 26- 50
MI NAKULETEA MPAKA KWAKO KABISA CONTACTS 0654262419
Hizo range ni uwezo hizo brackets za kufunga tv za size hizo zilizoainishwa hapo pia hata ukubwa wa hizo brackets ni tofauti kama ilivyo kwa size za tv na ukubwa wake.Hizo size za brackets zinahusisha pia kgs ambazo zinauwezo wa kuhimili size husika.Hiyo range ya inches zako na bei bado, manake naweza nikanunua ya inch 32 kwa 25000 na wakat huo huo naweza nkapata kwa 30000 na wakati huo huo kwa 40000, maana hiyo 32 ipo kwenye hizo range tatu zote.. heb Weka vizuri hapo
Hizo range ni uwezo hizo brackets za kufunga tv za size hizo zilizoainishwa hapo pia hata ukubwa wa hizo brackets ni tofauti kama ilivyo kwa size za tv na ukubwa wake.Hizo size za brackets zinahusisha pia kgs ambazo zinauwezo wa kuhimili size husika.
Amesema ni TV wall mount sio TV/flat screenEdit bei zako
Haah! Haah! Mkuu ulifikiri flat screen inch 32 inauzwa 25,000?Hizi bei ndo zenyewe kweli?,mbona nafuu sana au mnasahau kuweka sifuri moja?
Edit-daamn,nilikuwa sijaona bana kumbe Tv mount
mbona namba haipatikanikwa wale wanaohitaji kuaattach tv kwenye ukuta
tv wall mounts zipo kwa ajili yenu
zipo za saizi mbali mbali
ziaweza kufunga tv za inchi kuanzia 15 mpaka inch 65
suitable for LG, SONNY,PANASONIC,TOSHIBA,JVC,SAMSUNG,AND OTHER BRANDS
MZIGO UPO WA KUTOSHA BEI NI KUANZIA
BEI
INCH 52-72.....TZSH 50,000
INCH 32-65.........TZSHS 40,000
INCH 22-45...........TZSHS 30,000
INCH 15-37........TZHS 25,000
CONTACTS 0654262419 UNALETEWA MZIGO POPOTE NDANI YA DAR
View attachment 357075 View attachment 357076 View attachment 357076
Sipati picha kama ndo ungemuagiza akuletee halafu mshkaji anafika kwako,anafungua box lake anatoa hayo mavyuma huku wewe ukijua unaletewa TV[emoji4] [emoji4] [emoji4]Hizi bei ndo zenyewe kweli?,mbona nafuu sana au mnasahau kuweka sifuri moja?
Edit-daamn,nilikuwa sijaona bana kumbe Tv mount