Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 May 5, 2017 #1 Tv Tumaini ni Tv ya Roman Catholic na wakatoliki wameichangia sana ila kinacho nishangaza wala aieleweli aina vipindi ipo ovyo ovyo tu au awana wataalamu si watangaze watu wakajitolee
Tv Tumaini ni Tv ya Roman Catholic na wakatoliki wameichangia sana ila kinacho nishangaza wala aieleweli aina vipindi ipo ovyo ovyo tu au awana wataalamu si watangaze watu wakajitolee
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,618 Reaction score 5,408 May 5, 2017 #3 Je inapatikana wapi? Huku kwetu haijulikani.
K Kashishi yetu JF-Expert Member Joined Mar 22, 2014 Posts 3,634 Reaction score 3,945 May 5, 2017 #4 Ni kweli kabisa IPO hovyo kabisa
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,931 May 5, 2017 #5 Mkuu huo uandishi wako nafuu hata hiyo tv.
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 May 5, 2017 Thread starter #6 Kashishi yetu said: Ni kweli kabisa IPO hovyo kabisa Click to expand... kumbe umeona ehee sijui wanaiongozaje
Kashishi yetu said: Ni kweli kabisa IPO hovyo kabisa Click to expand... kumbe umeona ehee sijui wanaiongozaje
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 May 5, 2017 Thread starter #7 Kimbori said: Je inapatikana wapi? Huku kwetu haijulikani. Click to expand... Startimes
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 May 5, 2017 Thread starter #8 Kashishi yetu said: Ni kweli kabisa IPO hovyo kabisa Click to expand... ndio upeo wako