TV StarX nch 43 inauzwa

Unasema ina mstari mdogo juu tena unageuka kusema haina tatizo?

"nyumba ina ufa juu ya lenta ila haina tatizo mkuu"
Ufa unaweza kuwepo lakini usivujishe maji, huo mstari kwa kioo hauna shida na nimeitumia hivyo kwa muda sasa
 
ufa unaweza kuwepo lakin usivujishe maji huo mstar kwa kioo hauna shida na nimeitumia hvyo kwa mda sasa
Huo mstari ni ishara kuwa tayari ni tatizo na muda wowote ule itaongezeka!!biashara nyingine daa, sasa tv mpya kama hiyo kwa 570, 000 unapata, ila kila raheli mkuuu
 
[emoji109][emoji109]
 
Huo mstari ni ishara kuwa tayari ni tatizo na muda wowote ule itaongezeka!!biashara nyingine daa, sasa tv mpya kama hiyo kwa 570, 000 unapata, ila kila raheli mkuuu
Kwa 570K unaweza usipate ila ni kweli kabisa kwamba huo mstari ni ishara ya tatizo.
 
Wakati unainunua ilikuwa na huo mstari? Kama ulinunua ikiwa haina kwanini umetokea na unasema si tatizo?
nimenuna na huo mstar n miezi sita sasa ninayo na hakuna shida naiuza kwa sababu nimechukua ingne kubwa zaidi ya hii thats why nikasema mazungumzo yapo

kama unaita nakupa waranty miez mitatu
 
Acha kudanganya watu, usifikiri wewe ndiye mtu wa kwanza kumiliki TV Tanzania.

Nani mwenye akili timamu anaweza kununua TV yenye mstari kutoka dukani na asione ni tatizo.
 
Bro umenunua tv ikiwa na mstari kutoka dukani?
 
kama hutak kuamini si basi mzee hakuna sehem nimesema huna akili wala unayo...?!
 
Bro umenunua tv ikiwa na mstari kutoka dukani?
yeah ilikua bei rahisi and mm mwenyewe n fundi so kioo kikiwa na shida najua hiki hakitadumu
sasa sikuona shida tv ninayo miez sita sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…