Lalo Salamanca
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 1,553
- 1,149
Naipenda The Vampire Diaries.
Ubabe wa Niklaus unanifurahisha sana.
Mkuu mimi nilijaribu kuiangalia hii nikashindwa, nikaiacha Tu.
Ni nzuri sana mkuu kama ukiifuatilia episode moja baada ya nyingine japo ninakiri kwa mtu asiyependa vitu ambavyo ni "imaginable" sana hawezi kuipenda.
Umeisahau The Lottery.
Umeisahau The Lottery.
kuna moja ya waingereza ya matapeli sikumbuki jina lake ila ni nzur sanaaaa
the 100
under the dome
originals
missing
homeland
arrows
prison break
so far ni hizo kwangu mim
kuna moja ya waingereza ya matapeli sikumbuki jina lake ila ni nzur sanaaaa
the 100
under the dome
originals
missing
homeland
arrows
prison break
so far ni hizo kwangu mim