kweli toa maelezo na ukiweza weka na picha. nahitaji TV za size hizo ila kabla sijaanza kukutafuta, turahishie basi tujue tukutafute tukiwa serious buyers au vinginevyo
kazi kweli, kama unashndwa kutofautisha bango la barabarani na kwenye social network ni bora urudi ujima! Btw, kwa sababu hata namba uliyoweka haipatkan ni bora utpatie namb ya mwenyemali!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.