Kuna capacitor zimeburst. TV inakosa stored charge za kutosha so inajizima inajipeleka standby kwaajili ya kujaza charge kwenye capacitors tena. Kuna TV yetu ya Sony ilikua hvyo, tukapeleka kwa fundi akabadilisha capacitor zote zilizoburst. Ilikua ni kma 40,000 hv kma sio 50,000 (sikumbuki vzr).