TV inch 32 inauzwa

TV inch 32 inauzwa

IKB

Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
75
Reaction score
29
Nauza TV Solamax inch 32, inatumia umeme 110/240V, na sola.Port mbili za USB yan sehem mbili za kuchomekea flash, HDMI port mbili pia, Port VGA kwaajili ya computer, output Av. TV ni mpya haina tatizo.

Kwa mawasiliano zaidi
tuma ujumbe mfupi au
piga simu namba
+255763403330
napatikana Dar es Salaam
Buza au Kariakoo
20180629_085843~2.jpg
20180629_085822.jpg
 
Nauza TV Solamax inch 32, inatumia umeme 110/240V, na sola.Port mbili za USB yan sehem mbili za kuchomekea flash, HDMI port mbili pia, Port VGA kwaajili ya computer, output Av. TV ni mpya haina tatizo.

Kwa mawasiliano zaidi
tuma ujumbe mfupi au
piga simu namba
+255763403330
napatikana Dar es Salaam
Buza au KariakooView attachment 801906View attachment 801907
Laki tisa kwa TV kama hii una wazimu?
 
Ww laki tisa umeisoma wapi ?
Ndio uweke bei sasa kupunguza maswali utakapo pigiwa iwe ni namna ya kuipata na na mazungumzo mengine kama bei inapungua.
 
Ishanunuliwa, mpaka lile taulo linaloonekana pale. Ilikua 50k tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom